Nani ananipigia? Baadhi yetu tunapenda surprise, na wengine hapana. Lakini kuna jambo moja ambalo hakuna anayelipenda: kupokea simu ya mtu tunayejaribu kumkwepa.
Zamani sote tulilazimika kujitosa gizani tukipokea simu zinazoingia, tukiomba iwe ni rafiki tu. Siku hizi hatuhitaji kujiuliza “Nani ananipigia?” na kuanza kuhangaika tukiona namba tusiyoijua.
Tunaweza tu kupakua Me.
Me inafanya kazi ya kukupa taarifa nyingi iwezekanavyo kuhusu mpigaji aliye upande wa pili.
Caller ID yetu mahiri inatambua simu na mpigaji, kisha inaainisha na kuweka alama ya aina ya simu ili kukusaidia.
Tumeunda caller ID rahisi kutumia na ya kibunifu isiyofunika skrini ya simu
Bado huna Me? Pakua sasa


na inakuwezesha kufanya mambo mbalimbali hata ukiwa bado kwenye simu.
Kwa hiyo badala ya kujiuliza “nani ananipigia?”, unapata arifa moja kwa moja ya caller ID na kiwango cha uaminifu wa simu hiyo.
Pia, Me ndiyo programu pekee ya caller ID duniani inayokuonyesha (anwani za pamoja) watu mnaowajua wote wawili, wewe na mpigaji, na inakuonyesha mitandao ya kijamii ya mpigaji na mengine mengi.
Caller ID si ya kutosheleza udadisi wako tu, bali pia ni kwa usalama wako.
Tunaishi katika dunia ya teknolojia ya hali ya juu.
Kwa bahati mbaya, si kila mtu ana nia njema.
Wengine hutumia zana tulizonazo leo kwa nia mbaya na utapeli.
Me inakutahadharisha mapema, ikikupa taarifa zinazowafanya matapeli washindwe kukudanganya kwa urahisi, na inakuwezesha kuturipotia simu za kutiliwa shaka kwa haraka inapohitajika.
Me ina hifadhidata kubwa kwa matumizi yako.
Tumia dialer ya Me kwa kutafuta namba na kugundua taarifa zaidi
na wasifu
Programu yetu ya caller ID inapatikana kwenye iPhone, vifaa vya Android, na jukwaa la Me Web
Vipengele vyote vilivyo hapo juu vinaweza kuwashwa na kuzimwa wakati wowote.
Ndani ya Me kuna vipengele vingi tofauti vilivyoundwa kurahisisha maisha yako na kukuunganisha na watu unaowachagua kwa haraka, kwa ufanisi na bila usumbufu.
Huduma yetu ya caller ID ni BURE kwa iPhone na Android
Sisi Me tunafanya kazi kila mara kuboresha na kuunda vipengele zaidi vitakavyowapa watumiaji wetu huduma bora zaidi na kuipeleka caller ID kwenye kiwango kinachofuata.
